written by ;gladie mtg
ilikua alfajir na mapema siku ya jumatatu wakat ambapo wiki huanza pamja na plka plka zake watu mbalmbal waume kwa wake wakijiandaa kuelekea katka mihangaiko yao ya kill siku.Ni katika familia moja ya bwana na bibi salehe said kama walvyofahamka majira hayo ndiyo ambayo baba wa familia bwana salehe alikua akijiaandaa kwend kweny mihangaiko yake mkewe aliyefahmka kam bi faudhia alkua jkon akiandaa kifungua knyw kwa ajl y familia yake.Familia hii ilibarikiwa kuwa n watoto wawili wote walikua wakike walikua wazur kwa sura,umbo na tabia walipendwa n wazaz wao n kupewa mahtaj yao yote. Mtoto wa kwanza aliitwa Sarah n wa pili aliitwa Susan. Wote walkua wakisoma boarding school iliyoitwa Anne marry.